Habari za Punde

Waandishi Wapigwa Msasa katika Mafunzo ya Lishe Zenj.

 Mkufunzi katika Mafunzo ya Waandishi wa habari kuhusiana na Lishe na Utapia Mlo kwa Watoto Bi. Hanima Othman, akielezea matatizo yanayosababisha Utapia Mlo kwa Watoto na Watu wazima katika mafunzo ya siku moja yalioandaliwa na TANIPA, kwa Waandishi kuripoti habari ya Lishe na Rirutubisho vya Vyakula katika Jamii, mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Jengo la ZANA Magomeni Unguja.
                                                 Waandishi wakifuatilia mafunzo hayo.
 Ofisa wa TANIPA Juma Chum. akizungumza katika mafunzohayo kuhusiana na Majukumu ya Jumuiya yao ya TANIPA, inavyotowa Elimu kwa Watoto Wamama wajawaziti na Watu wanaoishi na HIV, kuhusiana na lishe yenye virutubisho, wakati wa mafunzohayo.
 Mwandishi wa habari muandamishi na Meneja wa MCT Suleiman Seif, akichangia katika mafunzo hayo yalioandaliwa na TANIPA kwa waandishi. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.