Habari za Punde

Mchezo wa Mapinduzi Cup Azam na Ashanti Uwanja wa Amaan.

 Mchezaji wa timu ya Ashanti akiwa na mpira akimpita beki wa timu ya Azam katika mchezo wa mwisho wa michuano ya Mapinduzi Cup kituo cha Unguja, timu hizo zimetoka sare ya bila kufunguna.
          Mshambuliaji wa timu ya Azam Kipre Tchetche akimpita beki wa timu ya Ashanti katika mchezo wa Mapinduzi Cup.
                       Mshambuliaji wa timu ya Ashanti akiwapita wachezaji wa timu ya Azam.
                           Mshambuliaji wa timu ya Azam akijiandaa kumpita beki wa timu ya Azam .
Hapa hupiti beki wa timu ya Azam akimzuiya mchezaji wa timu ya Ashanti akimiliki mpira katika mchezo huo uliofanyika uwanja wa Amaan timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana jana usiku.                Kipa wa timu ya Ashanti akipata huduma ya kwanza baada ya kupata maumivu
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Simba Abdalla Kibadeni akisalimiana na Kocha Mpiya wa timu ya Simba walipokutana kwa mara ya kwanza katika michuano ya kombe la Mapinduzi uwanja wa Amaan , wakati wa timu ya Ashanti ilipokuwa ikicheza na Azam 


 Kocha wa timu ya Ashanti Abdalla Kibadeni, akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wao na timu ya Ashanti uliofanyika uwanja wa Amaan, timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.
                               Kocha msaidizi wa timu ya Azam Kali Ongara akizungumza nawaandishi wa habari

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.