PIKU Afrika yakabidhi zawadi kwa washindi wa awamu ya nne ya mnada wa
kidijitali
-
Na Mwandishi Wetu
JUKWAA la kidijitali la PIKU Afrika, linaloendesha minada ya kipekee
kupitia mtandao, leo Septemba 20, 2025, limetangaza na kukabidhi za...
3 hours ago
Ndugu yangu kusoma tuu peke yake hakutoshi kuleta mabadiliko ikiwa mfumo wenyewe ni mbovu. Tusitarajie mabadiliko ikiwa mazingira yenyewe ya kazi yamewekewa misingi isiyokuwa imara mibovu, watendaji wakuu wenyewe wabovu.
ReplyDelete