Habari za Punde

Maalim Seif Atembelea Soko la la matunda Mombasa.

 Mkurugenzi wa Mapinspaa Zanzibar Abeid Juma, akisisitiza jambo wakati wa ziara ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, kwenye jaa la soko la matunda Mombasa.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea soko la matunda Mombasa.
Mkurugenzi wa Mapinspaa Zanzibar Abeid Juma, akimueleza Maalim Seif hali ya usafi na uchafu katika soko la matunda Mombasa Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Mali asili Zanzibar, Affan Othman Maalim, akieleza juu ya teknolojia mpya ya kilimo cha mboga mboga na matunda, wakati Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, alipotembelea kituo hicho kilichoko Dimani. (Picha na Salmin Said, OMKR)

1 comment:

  1. Hahahahaaa duu.Makamo kuacha kazi kwenda kutembelea soko la matunda lenye fungu moja tuu ,wakati zanzibar inao uwezo wa kujaza soko zima. Au amekwenda kuangalia jinsi serikali ilivyoshindwa kuwaraghibisha wakulima kulima zaidi na kujaza masoko? Kama soko hili linalochangiwa bidhaa kila upande liko hivi jee yale ya vijijini yanayojitegemea yakoje.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.