Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Mbinga kwa ajili ya kuzungumza na wananchi wa wilaya hiyo katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Ruvuma tarehe 21 Septemba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mbinga katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Ruvuma tarehe 21 Septemba, 2025.
No comments:
Post a Comment