Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI NCHINI MAREKANI KUMWAKILISHA RAIS DKT SAMIA KATIKA MKUTANO WA UNGA 80

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango, akiwasili Jijini New York nchini Marekeani leo tarehe 21 Septemba 2025. Makamu wa Rais yupo nchini Marekani kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Kikao cha 80 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 80). 






No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.