Katibu Mkuu wa Chama cha
Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana akipandisha bendera mara baada ya
kulizindua Shina la Wakereketwa wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi
(UVCCM) la Wajasiliamali wa Kuuza Korosho,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la
Chalinze leo Machi 24, 2014.Kulia kwake ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze
(CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete.
Mgombea Ubunge katika
Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwapungua
mkono wananchi na wapenzi wa CCM katika Kata ya Ubena Zomozi,leo Machi 24,
2014.Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Chama cha
Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana
Katibu Mkuu wa Chama
cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana akiwa amemuinua mkono Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze
(CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete ikiwa ni ishara ya kumnadi kwa wananchi wa Kata
ya Ubena Zomozi huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha,wakati wa Mkutano wa
Kampeni za CCM zinazoendelea katika Kata mbali mbali ndani ya jimbo la Chalinze
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi
(CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi na wanaCCM wa Kata ya Ubena
Zomozi huku akishangilia kwa shangwe,leo.(Picha na Othman Michuzi.)

No comments:
Post a Comment