Habari za Punde

Fainali ya Michuano ya PBZ Cup, Kati ya Chuo cha Utalii Maruhubi na Chuo cha Usimamizi wa Fedha Chwaka.

Waziri Mkuu Mstaaf Ndg Fedrik Sumaye, akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Vyuo Vikuu Zanzibar, lililofadhiliwa na Benki ya Watu waZanzibar Ltd, PBZ, Nahodha wa timu ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha Zanzibar, baada ya kuifunga timu ya Chuo cha Utalii Zanzibar kwa peneti Chwaka imeshinda 4--3
Waziri Mkuu Mstaaf Ndg Fedrik Sumaye, akimkabidhi zzawadi mshindi wa Pili wa Michuano ya Vyuo Vikuu Zanzibar, lililofadhiliwa na Benki ya Watu waZanzibar Ltd, PBZ, Nahodha wa timu ya Chuo cha  Utalii  Zanzibar, baada ya kufunga kwa peneti Chwaka imeshinda 4--3
Wapenzi wa timu ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha Chwaka wakiishangilia timu yao wakati wa mchezo wa Fainali ya Kombe la Vyuo Vikuu Zanzibar uliofanyika uwanja waAmaan Zanzibar.



















No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.