Habari za Punde

Rais Kikwete Akutana na Rais Mpya wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al-Sisi.

 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais mpya wa Nchi ya Misri Mhe. Abdel Fattah Al-Sisi, mjini Malabo, Equatorial Guineawakati wakihudhuria mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.