Habari za Punde

Ligi Kuu Miembeni na Chuoni Amaan zimetoka sare ya 2--2


Mshambuliaji wa timu ya Miembeni Salum Seif, akiwapita mabeki wa timu ya Chuoni katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa amaan ti mu hizo zimetoka sare ya 2--2
Golikipa wa timu ya Chuoni Nassor Abdalla, akiokoa moja ya hatari golini kweke wakati wa mchezo wao na timu ya miembeni uliofanyika uwanja wa amaan.jana.
Mchezaji wa timu ya miembeni akimpita beki ya Chuoni katika mchezo wa ligi kuu ya grand malt uliofanyika uwanja wa amaan, tiom u hizo zimetoka sare ya 2---2.
Mshambuliaji wa timu ya miembeni Salum Mohammed akijiandaa kuzuiya mpira huku beki wa timu ya Chuoni Omar Mussa akijiandaa kumzuiya katika mchezo huo uliofanyika uwanja wa amaan jana timu hizo zimetoka satre 2--2
Kizaazaa golini kwa timu ya Chuoni wakati wa mchezo wa ligi kuu ya grand malt uliofanyika uwanja wa amaan jana.
Mshambuliajin wa timu ya miembeni Hassan Seif (Banda) na beki wa timu ya Chuoni Saleh Hamad wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa ligi kuu uliofanyika uwanja wa amaan jana timu hizo zimetoka sare 2--2
Goli la kwanza la timu ya miembeni wakati wakiwa nyumba ya mabao 2--1 dhidi ya mpizani wake timu ya chuoni hatimai mchezo huo kutoka sare baada ya timu ya miembeni kusawazisha bao katika dakika za majeruhi za lalasalama.

Mshambuliajin wa timu ya miembeni Hassan Seif (Banda) akimpita beki wa timu ya Chuoni wakati wa mchezo wao wa ligi kuu uliofanyika uwanja wa amaan jana timu hizo zimetoka sare 2--2
Wachezaji wa timu ya Chuoni wakishangia goli lao la pili katika mchezo wa ligi kuu na halikudumu katika dakika za nyongeza kusawazishiwa na timu ya miembeni na kubadilisha matokea hayo kuwa sare 2--2

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.