Habari za Punde

MWENGE WA UHURU WAKABIDHIWA MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa kushoto akikabidhiwa Mwenge wa Uhuru na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Salama Mbarouk Khatibu mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Salama Mbarouk Khatibu akisoma Taarifa ya Mwenge wa Uhuru katika hafla ya makabidhiano kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba kwenda Mkoa wa Mjini Mgharibi Unguja hafla iliofanyika  katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.