RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia ni Kamanda Mkuu wa Idara za SMZ.Mhe.Hussein Ali Mwinyi,
akipokea salamu ya heshima na kukaguwa gwaride la Maofisa Wapya wa Vikosi vya JKU
na KVZ , wakati wa hafla ya ufungaji wa Mafunzo ya Kozi ya Maofisa hao.
iliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Uongozi cha JKU Dunga Wilaya ya Kati
Unguja 26-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambae pia ni Kamanda Mkuu wa Idara Maalumu za SMZ.Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi, akiwasili katika viwanja vya Chuo cha Uongozi JKU Dunga Wilaya ya Kati
Unguja , kwa ajili ya ufungaji wa Mafunzo ya Kozi ya Maofisa wa Vikosi vya JKU
na KVZ , hafla hiyo iliyofanyika 26-6-2025.
No comments:
Post a Comment