Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews
Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka Taji la Maua kwenye Mnara wa kumbukumbu wa Mashujaa Mjini Maputo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji, tarehe 25 Juni, 2025.
No comments:
Post a Comment