Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Leonardo da Vinci Jijini Roma nchini Italia leo tarehe 19 Juni 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Ubia wa Maendeleo kati ya Afrika na Serikali ya Italia (Mattei Plan) utakaofanyika tarehe 20 Juni 2025.
MUHIMBILI MSHINDI WA KWANZA HUDUMA ZA AFYA SABASABA 2025.
-
Hospitali ya Taifa Muhimbili [Upanga & Mloganzila] imeibuka mshindi wa
kwanza katika kundi la watoa huduma za afya katika Maonesho ya 49 ya
Biashara ya Ki...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment