Muonekano wa Jengo
la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Simiyu ambalo
limefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu
tarehe 16 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akivuta kitambaa kuashiria
ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Simiyu
lililopo Bariadi tarehe 16 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya
kufungua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji wa pamba cha
MOLI Oil Mills Co. Ltd kilichopo Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.
No comments:
Post a Comment