Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya
kupokea Gawio la Serikali iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10
Juni, 2025.
Msajili wa
Hazina Bw. Nehemiah Mchechu akizungumza kwenye hafla ya kupokea Gawio la
Serikali iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Juni, 2025.
Viongozi mbalimbali,
Wakuu wa Taasisi pamoja na Mashirika ya umma wakiwa kwenye hafla ya kupokea
Gawio la Serikali iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Juni, 2025.
No comments:
Post a Comment