RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Ukumbi wa
Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu kwa ajili ya kulihutubia Baraza la Eid
Al-Adha lililofanyika katika ukumbi huo, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid
Al-Adha, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Alhajj
Dkt.Haroun Ali Suleiman
GWARIDE Maalumu la Kikosi cha FFU lililoandaliwa
kwa ajili ya Baraza la Eid Al-Adha wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, lililofanyika
katika viwanja vya Ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tungui Mkoa wa Kusini
Unguja leo 7-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima kutoka kwa
Kikao cha FFU, wakati wa Gwaride maalumu lililoandaliwa kwa ajili ya Baraza la
Eid Al-Adha, lililofanyika katika viwanja vya ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein
SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-6-2025.

No comments:
Post a Comment