Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Bi. Triphonia Thadei Mng'ong'o hati ya kiwanja chake kilichopo Mtuba jijini Dodoma, alipotembelea Kliniki ya Ardhi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 12, 2025. Katikati ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geofrey Pinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
SERIKALI YAENDELEA KUTOA KIPAUMBELE KWA MAENDELEO YA MICHEZO – MSIGWA
-
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza dhamira yake ya
kuendelea kuwekeza katika sekta ya michezo kwa kujenga miundombinu bora na
kuwek...
36 minutes ago
No comments:
Post a Comment