RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kutowa mkono wa pole kwa
Wanafamilia wa Marehemu Abdallah Mohammed Bomba, alipowasili katika viwanja vya
Masjid Mubarak Al Mazrui Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, kwa ajili ya
Sala ya Maiti, iliyofanyika katika masjid hiyo leo 11-6-2025 na kuzikwa katika
makaburi ya Kwarara
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wanandugu wa Marehemu Abdallah Mohamed Bomba na Wananchi katika Sala ya Maiti, iliyoongozwa na Sheikh.Abdulazizi iliyofanyika katika Masjid Mubarak Al Mazrui Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 11-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wanandugu wa Marehemu
Abdallah Mohamed Bomba na Wananchi katika kuitikia dua ya kumuombea marehemu
baada ya kumalizika kwa Sala ya Maiti, ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh. Mahmoud Mussa Wadi, iliyofanyika katika Masjid Mubarak Al Mazrui
Mombasa leo 11-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa pole kwa Familia ya
Marehemu Abdallah Mohammed Bomba, baada ya kumalizika kwa Sala ya Maiti
iliyofanyika katika Masjid Mubarak Al Mazrui Mombasa Wilaya ya Magharibi “B”Unguja
leo 11-6-2025, na kuzikwa katika makaburi ya Kwarara
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi baada ya
kumalizika kwa Sala ya Maiti ya Marehemu Abdallah Mohammed Bomba, iliyofanyika
katika Masjid Mubarak Al Mazrui Mombasa Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo
11-6-2025, na kuzikwa katika makaburi ya Kwarara

No comments:
Post a Comment