RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano wa
Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kuembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja Jijini Zanzibar kwa ajili ya hafla maalumu ya chakula na utoaji wa Tuzo
kwa Wawekezaji mbalimbali waliowekeza Zanzibar, iliyoandaliwa na Mamlaka ya
Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) iliyofanyika jana usiku 17-6-2025,na (kulia kwa Rais)
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na (kushoto
kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi.Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.
Shariff Ali Shariff.
WAWEKEZAJI mbalimbali na wageni waakikwa wakifuatilia
hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi (hayupo pichai) akihutubia katika hafla maalumu ya Chakula cha usiku
na utoaji wa TUZO kwa Wawekezaji,iliyoandaliwa na Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar
(ZIPA) iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki
Wilaya ya Magharibi “B”Unguja Jijini Zanzibar jana usiku 17-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalumu ya kuwa
Muhamasishaji Bora wa Sekta ya Uwekezaji Zanzibar,akikabidiwa na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Shariff Ali Shariff
(kushoto kwa Rais) wakati wa hafla ya chakula maalumu na utoaji wa Tuzo kwa
Wawekezaji Zanzibar,iliyoandaliwa na Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA)
katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar jana usiku 17-6-2025

No comments:
Post a Comment