Balozi wa Tanzania Nchini Msumbiji Mhe. Balozi CP Hamad Khamis Hamad alikutana na Mshauri wa Rais wa Msumbiji katika Masuala ya Uchumi na Maendeleo, Dkt. Mateus Magala na kuzungumza naye masuala mbalimbali ya ushirikiano katika Sekta ya Uchumi baina ya Tanzania na Msumbiji.
Umoja wa Mataifa na Ubalozi wa Afrika Kusini Wafanya Huduma ya Jamii
Kurasini Kumuenzi Mandela
-
KILA mwaka Julai 18 dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela
kwa kutenga angalau dakika 67 kufanya huduma ya kijamii, kama njia ya
kumuenzi...
45 minutes ago
No comments:
Post a Comment