Taswira ya Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 ambalo limefunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika eneo la Kigongo, Misungwi mkoani Mwanza tarehe 19 Juni, 2025. Daraja hilo ambalo ni sehemu ya barabara ya Usagara-Sengerema-Geita ni sehemu ya barabara kuu inayoanzia Sirari hadi Mtukula na ujenzi wake ulianza rasmi mwezi Februari, 2020.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria
ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja
na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 katika eneo la Kigongo, Misungwi
mkoani Mwanza tarehe 19 Juni, 2025. Daraja hilo ambalo ni sehemu ya barabara ya
Usagara-Sengerema-Geita ni sehemu ya barabara kuu inayoanzia Sirari hadi
Mtukula na ujenzi wake ulianza rasmi mwezi Februari, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akisogeza kitambaa kuashiria ufunguzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi)
lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66
katika eneo la Kigongo, Misungwi mkoani Mwanza tarehe 19 Juni, 2025. Daraja
hilo ambalo ni sehemu ya barabara ya Usagara-Sengerema-Geita ni sehemu ya
barabara kuu inayoanzia Sirari hadi Mtukula na ujenzi wake ulianza rasmi mwezi
Februari, 2020.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza taarifa ya
ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja
na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 iliyotolewa kwa njia ya Makala ya
video darajani hapo tarehe 19 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuashiria
kuanza kutumika rasmi kwa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa
km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipunga bendera kuashiria
kuanza kutumika rasmi kwa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa
km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 mkoani Mwanza.
.jpeg)
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Daraja la JP
Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3 pamoja na barabara unganishi
zenye urefu wa km 1.66 mara baada ya ufunguzi mkoani Mwanza tarehe 19 Juni,
2025.
No comments:
Post a Comment