Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia kinywaji cha chai cha asili kutoka China, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye maadhimisho ya miaka 20 ya Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro(MUM), katika viwanja vya chuo hicho mkoani Morogoro Juni 20, 2025. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimuangalia mwanafunzi wa somo la lugha ya kichina akiandika, Naima Mahfudh, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye maadhimisho ya miaka 20 ya Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro(MUM), katika viwanja vya chuo hicho mkoani Morogoro Juni 20, 2025. Katikati ni Mwalimu wa somo hilo Haila Zhou
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia kazi za mikono zinazofundishwa na walimu kutoka China, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye maadhimisho ya miaka 20 ya Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro(MUM), katika viwanja vya chuo hicho mkoani Morogoro Juni 20, 2025. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof Juma Assad, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye maadhimisho ya miaka 20 ya Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro(MUM), katika viwanja vya chuo hicho mkoani Morogoro Juni 20, 2025.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye maadhimisho ya miaka 20 ya Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro(MUM), alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya chuo hicho mkoani Morogoro Juni 20, 2025
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na mwanafunzi mwenye ulemavu wa mikono Chegeni Salum kwenye maadhimisho ya miaka 20 ya Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM), alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya chuo hicho mkoani Morogoro Juni 20, 2025.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi tuzo William Erio kwa niaba ya Hayati Benjamin Mkapa ya kutambua mchango wake katika kuanzisha chuo hicho kwenye maadhimisho ya miaka 20 ya Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro(MUM), alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya chuo hicho mkoani Morogoro Juni 20, 2025.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipanda mti, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye maadhimisho ya miaka 20 ya Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro(MUM), katika viwanja vya chuo hicho mkoani Morogoro Juni 20, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment