RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea banda la maonesho la ZURA
wakati wa ufungaji wa maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Ardhi na Makaazi
yaliyofanyika katika viwanja vya New Amaan Complex Zanzibar 24-6-2025.

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Mipango
Miji na Vijiji wa Kamisheni ya Ardhi Zanzibar. Mwarab Abdallah Mzee, wakati
akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Ardhi na Makaazi, kabla ya
ufungaji wa maonesho hayo, yanayofanyika katika viwanja vya New Amaan Complex
Zanzibar 24-6-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Wiki
ya Ardhi na Makaazi, yaliyofanyika katika viwanja vya New Amaan Complex
Zanzibar, akipata maelezo kutoka kwa CEO.wa Kampuni ya MB Homes
Husseyin Buyukballi, wakati akitembelea maonesho hayo 24-6-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea banda la maonesho la ZURA
wakati wa ufungaji wa maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Ardhi na Makaazi
yaliyofanyika katika viwanja vya New Amaan Complex Zanzibar 24-6-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea banda la maonesho la Skuli ya
Ufundi Mikunguni na kupata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi Abdurahaman Ahmad
Abdallah,wakati wa ufungaji wa maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Ardhi na
Makaazi, yaliyofanyika katika viwanja vya New Amaan Complex Zanzibar 24-6-2025.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali
akiwa na Kitabu cha Muongozo wa Uthamini wa Mali na Malipo ya Fedha baada ya
kikizindua rasmin, wakati wa ufungaji wa maonesho ya Maadhimisho
ya Wiki ya Ardhi na Makaazi, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
New Amaan Complex Zanzibar leo 24-6-2025.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kayafunga Maonesho ya
Maadhimisho ya Wiki ya Ardhi na Makaazi, yaliyofanyika katika viwanja vya
Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar 24-6-2025.
VIONGOZI mbalimbali na Wananchi wakifuatilia
hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuyafunga maonesho ya Maadhimisho ya
Wiki ya Ardhi na Makaazi, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya New
Amaan Complex Zanzibar 24-6-2025
VIONGOZI mbalimbali na Wananchi wakifuatilia
hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuyafunga maonesho ya Maadhimisho ya
Wiki ya Ardhi na Makaazi, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya New
Amaan Complex Zanzibar 24-6-2025.

No comments:
Post a Comment