Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Boti na Mashine Bw.Shamte Hamadi Juma wa Kijiji cha Maziwa Ng'ombe Wilaya ya Micheweni kwa niaba ya kikundi cha Wavuvi Kheri Moyo Mmoja Pemba hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika jana kijijini hapo,[Picha na Ikulu.]
DKT.NCHIMBI AWASILI LUDEWA,MKOANI NJOMBE KUENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA
KAMPENI
-
MGOMBEA Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewasili
wilayan...
52 minutes ago
No comments:
Post a Comment