Wachezaji wa timu ya Simba wakiwa katika uwanja wa amaan wakiwa katika mazoezi yao ya kujiandaa na mchezo wao wa Mtani Jembe unaotarajiwa kjufanyika hivi karibuni jijini Dar katika uwanja wa Taifa, Wakimsikiliza Kocha wao Phili mwenye jaketi jekundu akitowa maelekezo kwa wachezaji wake.
Kocha wa Simba Patrik Phili akitowa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mazoezi ya timu hiyo yanayofanyika katika uwanja wa amaan Zenj. walikojichimbia kujifua na mazoezi makali kwa timu hiyo yanayofanyika katika nyakati za asubuhi na jioni katika viwanja tafauti.
Vifaa vya timu ya Simba wakipata mazoezi mepesimepesi katika uwanja wa amaan.
Kocha Phili akifuatilia mazoezi hayo yanayoendelea katika uwanja wa amaan.
wachezaji wa simba wakiwa katika mazoezi yao katika uwanja wa amaan leo jioni chini ya kocha wao Phili.
No comments:
Post a Comment