Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipowasili katika viwanja vya
Chuo cha Fidel Castro kuzungumza na Viongozi wa Mashina na Maskani za CCM akiwa katika ziara
ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake chake Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Viongozi wa Chama
cha Mapinduzi alipofika katika Viwanja vya Chuo cha Fidel
Castro kuzungumza na Viongozi wa Mashina na Maskani za CCM akiwa katika
ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake chake Pemba leo
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Mshindo
Hamad Mshindo (kushoto) akifuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein mara alipowasili katika
Viwanja vya Chuo
cha Fidel Castro kuzungumza na Viongozi wa Mashina na Maskani za CCM akiwa katika ziara
ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake chake Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwapungia mkono Vikundi vya sanaa
wakati alipofika
katika Viwanja vya Chuo cha Fidel Castro kuzungumza na Viongozi wa
Mashina na Maskani za CCM akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya
Chake chake Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar (wa pili
kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai Mwenyekiti wa CCM Mkoa
wa Kusini Pemba (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Chakechake wakiwa
katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo cha Fidel Castro Mkutano wa Viongozi wa Mashina
na Maskani za CCM akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake chake
Pemba
Wajumbe wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani
wakinyanyua mikono juuu kuunga mkono katiba iliyopendekewa mbele ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipofanya mazungumzo na Viongozi hao katika ukumbi wa Chuo cha
Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara za
kuimarisha Chama
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein pia
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika
mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Chake chake
Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipomkaribisha Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar ili azungumze na wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Chake
chake Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro Mkoa nwa
Kusini Pemba akiwa katika ziara za Kuimarisha Chama cha Mapinduzi (CCM
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi ya Taifa wakiwa katika
Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Chake chake
Uliohutubiwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar leo katika ukumbi wa Chuo
cha Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara
za kuimarisha Chama Mkoani humo
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM
Wilaya ya Chake chake wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza nao leo
katika ukumbi wa Cho cha Fidel Castro akiwa katika ziara za kuimarisha Chama
cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi ya Taifa wakiwa
katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Chake chake
Uliohutubiwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar leo katika ukumbi wa Chuo
cha Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara
za kuimarisha Chama Mkoani humo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein pia
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea utenzi uliosomwa leo na Fatma Juma Ramadhan wakati Mkutano wa
kuimarisha Chama uliowashirikisha Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani wa Wilaya ya Chake chake
katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro akiwa katika ziara zake za kuimarisha
Chama cha Mapinduzi
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Wete akizungumza katika Mkutano wa Mabalozi
na Wenyeviti wa Maskani wa Wilaya hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa Jamhuri
Wete Pemba na kuhutubiwa na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Map[induzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa
katika ziara zake za kuimarisha Chama Mkoa wa Kaskazini Pemba
Kaimu Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Chake chake
Mafunda Khamis ambae ni Katibu wa CCM Wilaya ya Chake chake alipokuwa akifungua
Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM katika ukumbi wa Chuo cha
Fidel Castro leo mkutano uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwa katika ziara za
Kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment