Habari za Punde

Sunni Madressa School watimiza miaka 20

 Wanafunzi wa Sunni Madressa School wakifurahia kutimiza miaka ishirini tokea kuanzishwa kwa Sunni. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
  Mwalim Mkuu wa Sunni Madressa School akielezea historia ya Skuli hiyo kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmin kuzungumza na wahitimu, wazee wa wanafunzi na walikwa
 Mgeni rasmin katika Mahafaili hiyo Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na wahitimu, wazee wa wanafunzi na walikwa katika Mahafali ya kumi na nne ya wahitimu wa Form iv pamoja na kutimiza miaka ishirini tokea kuanzishwa kwa Sunni Madressa School. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar
Wahitimu wakimskiliza Mkeni rasmin (hayupo pichani). Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.