Habari za Punde

Usafi Bwawa la Maji Michenzani.

Mfanyakazi wa Idara ya Michirizi Baraza la Manispa Zanzibar akilifanyia usafi bwawa la maji michezani Zenj ili kuliweka safi kwa kutowa huduma ya kurusha maji kama ilivyokuwa hapo mwanzo lilikuwa likitoa maji ya rangi tafauti nyakati za usiku. 
Kwa sasa limekuwa likitowa huduma hiyo kwa muda tafauti.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.