KATIBU Mkuu wa CUF Mhe: maalim
Seif Sharif Hamad akiweka jiwe la msingi la tawi la Cossovo la chama hicho,
shehia ya Kangagani jimbo la Ole wilaya ya wete Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)
KATIBU Mkuu wa CUF Mhe: maalim
Seif Sharif Hamad akifungua tawi la baraza ya UKAWA ‘UKAWA CENTER’ shehia ya
Kangagani jimbo la Ole wilaya ya wete Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)
MWANACHAMA mpya wa CUF
ambae hakupatikana jina lake, akiwa amebeba bango linalosisitiza msimamo wa
chama hicho kutaka serikali tatu, ambapo mwanachama huyo pamoja na wengine 555,
walikabidhi kadi za kujiunga na chama hicho na Katibu mkuu Mhe: maalim Seif
Sharif Hamad, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kangagani Wete Pemba (picha
na Haji Nassor, Pemba)
BAADHI ya viongozi wa CUF
wakimsikiliza Katibu mkuu wa chama hicho Mhe: maalim Seif Sharif Hamad, wakati
akiwahutubia wafuasi wa chama hicho, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika
Kangagani jimbo la Ole wilaya ya Wete Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)
KATIBU Mkuu wa CUF Mhe : maalim
Seif Sharif Hamad, akimkabidhi kadi mmoja wa wanachama 555 wapya wa chama
hicho, kabla ya kuwahutubia wanachama wake kwenye mkutano wa hadhara
uliofanyika Kangagani jimbo la Ole wilaya ya Wete Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)
KATIBU Mkuu wa CUF Mhe: maalim
Seif Sharif Hamad akionyesha kadi na bendera ya cha cha ADC aliokabidhiwa na
waliokuwa wanachama wa chama hicho jimbo la Kangagani, ambapo wamekihama chama
hicho na kujiunga na CUF (picha na Haji Nassor, Pemba)
KATIBU Mkuu wa CUF Mhe: Maalim Seif Sharif Hamad,
akiwahutubia wafuasi wa chama hicho, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika
Kangagani jimbo la Ole wilaya ya Wete Pemba jana (picha na Haji Nassor, Pemba)
KATIBU Mkuu wa CUF Mhe: maalim Seif Sharif Hamad,
akiwahutubia wafuasi wa chama hicho, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika
Kangagani jimbo la Ole wilaya ya Wete Pemba jana (picha na Haji Nassor, Pemba)
No comments:
Post a Comment