Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi

 Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali wakiwa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi wakifatilia maelezo mbalimbali yanayotolewa mbweni nje ya mji wa Zanzibar
 Mwakilishi wa kuteuliwa Marina Joel Thomas akinukuu baadhi ya vipengele vya maswali na majibu ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Salmin Awadh Salmin katikati akiwa pamoja na Mwakilishi wa Kuteuliwa nafasi za Wanawake Raya Suleiman Hamad kulia na Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Nassor Salum Aljazeera wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.