Habari za Punde

Kukamilika kwa sehemu ya maegesho Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Abeid Amani Karume Zanzibar.

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, ikitowa huduma za ndege kubwa baada ya kumalizika kwa ujenzi wake wa maegesho ya ndege na barabara ya kuondokea, hivi karibuni kama inavyoonekana picha ndege mbili kubwa za Ethiopian airline  na Oman Air zikiwa katika uwanja huo kwa wakati mmoja zikitowa huduma ya kusafirisha abiria kupitia uwanja huo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.