MKE wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe: Mama Salma Kikwete, akisoma mlango wa
kwanza wa maulidi ya Baranzanji ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad (S.A.W) kwa
upande wa wanawake yaliyoandaliwa na Almadrasat Jabal-hiraa Wete Pemba Mhe:
Mwanajuma Majid Abdalla
MKE wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe:Mama Slama Kikwete, akimtunza mwanafunzi
Sumaiya Salum aliyesoma sira, katika maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad
(S.A.W) kwa upande wa wanawake yaliyoandaliwa na Almadrasat Jabal-hiraa Wete
Pemba.
MKE wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe:Mama Slama Kikwete, akishuka kwenye jukwaa
baada ya kuungana na wanafunzi wa Madrasat Qadiriya ya Amani Unguja, katika maulidi
ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad (S.A.W) kwa upande wa wanawake yaliyoandaliwa na
Almadrasat Jabal-hiraa Wete Pemba.
Mke wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mama Salma Kikwete akiwa na
viongozi mbali mbali wa Serikali wakiwa wamesimama kumswalia Mtume Mohammad
(S.A.W), katika Maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad (S.A.W) yaliyoandaliwa na
Almadrasat Jabal-hiraa Wete Pemba
MKE wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe:Mama Slama Kikwete, akiitikia dua katika
maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad (S.A.W) kwa upande wa wanawake
yaliyoandaliwa na Almadrasat Jabal-hiraa Wete Pemba, kushoto ni Mkuu wa Mkao wa
kusini Pemba, Mhe: Mwanajuma Majid Abdalla
MKUU wa Mkoa wa
Kusini Pemba, Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla akizungumza na waumini wa dini ya
Kiislamu katika Maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad (S.A.W)yaliyoandaliwa na
Almadrasat Jabal-hiraa Wete Pemba
MKE wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe:Mama Salma Kikwete akizungumza na waumini
wa dini ya Kiislamu katika Maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad
(S.A.W)yaliyoandaliwa na Almadrasat Jabal-hiraa Wete Pemba.

WANAFUNZI kutoka Vyuo
mbali mbali kisiwani Pemba, wakimsikiliza kwa makini Mke wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe:Mama Salma Kikwete wakati alipokuwa akizoma mlango wa
kwanza wa maulidi ya Barazanji ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad
(S.A.W)yaliyoandaliwa na Almadrasat Jabal-hiraa Wete Pemba.

WANAFUNZI waliowahi
kusoma katika chuo cha Almadrasat Jabal-hiraa Wete Pemba, wakisoma kasida
katika maulidi ya kuzaliwa kwa mtume Mohammed (S.A.W)yaliyofanyika huko Wete.(Picha na Abdi Suleiman, Pemba)
No comments:
Post a Comment