Habari za Punde

Mafundi Wakiwajibika

MAFUNDI wa kutengeneza bidhaa mbali mbali waliopo kiwanda cha Vilima vitatu Konde wilaya ya Micheweni Pemba, wakirekebisha gogo kwa shoka maalumu, kabla ya kulisarifu watakavyo kwa matumizi ya kutengeneza kitanda na kabati, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.