Habari za Punde

Jaji Mkuu Zanzibar atembelea mahakama kisiwani Pemba

 JAJI mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu wa pili kulia  akiangalia matengenezo ya jengo la mahakama ya Mkoa Chakechake wa mwanzo kulia ni Naibu mrajisi wa mahakama kuu Zanzibar Mhe, Ali Ameir, jengo ambalo linafanyiwa matengenezo makubwa hivi,(Picha na Ameir Khalid, PEMBA).
 MFANYAKAZI wa mahakama ya mwanzo Kengeja Mgeni Abdalla akielezea matatizo yanayowakabili katika mahakama yao, mbele ya Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe, Omar Othman Makungu wakati alipotembelea mahakama hiyo kujua matatizo yao yanayowakabili(Picha na Ameir Khalid, PEMBA).
HAKIMU wa Mahakama ya Wilaya Mkoani Is-haka Ali (kulia) akitoa muhtasari wa  taarifa ya utendaji wa kazi katika mahakama hiyo kwa jaji mkuu wa Zanzibar Mhe, Omar Othman Makungu wa mwanzo kushoto alipofika katika mahakama hiyo katikati ni naibu mrajisi wa mahakama Mhe. Ali Ameir,(Picha na Ameir Khalid, PEMBA).


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.