Habari za Punde

ZSSF Yaibuka na Ushindi Dhidi ya Ndugu zao NSSF katika mchezo wa Netiboli uliofanyika Ziwani Polisi

 Viongozi wa ZSSF na NSSF wakifuatilia mchezo wa kirafiki wa kuimarisha Udugu pande hizi mbili uliofanyika katika viwanja vya Bomani Polisi timu ya ZSSF imetoka na ushindi wa mabao 36-26.
 Mchezaji wa timu ya NSSF akidaka mpira huku akitizama na kutowa pasi wakati wa michezo wa kusherehekea Pasaka uliofanyika viwanja vya Bomani Polisi asubuhi leo. 
Viongozi na Wachezaji wa hakiba wa timu ya Netiboli ya NSSF wakiwa hawaamini matokeo ya mchezo huo wa kuimarisha uhusiano kati ya Taasisi hizo mbili za kutowa huduma kwa Jamii kuwatunzia Mafao yao ya Uzee ZSSF na NSSF.Timu ya ZSSF imeshinda kwa mabao 36--26.
Mchezaji wa timu ya ZSSF akidaka mpira huku wachezaji wa timu ya NSSF wakijianda tayari kumzuiya. 
                Mchezaji wa timu ya NSSF akijiandaa kumzuiya mchezaji wa timu ya ZSSF.

Mchezaji wa timu ya netiboli ya NSSF akidaka mpira wakati wa mchezo wao wa kirafiki na ndugu zao ZSSF uliofanyika katika viwanja vya Bomani Polizi Zanzibar ikiwa ni michezo ya kusherehekea Pasaka zamu hii zinafanyika Zanzibar.
Mchezaji wa timu ya ZSSF akidaka mpira huku wachezaji wa timu ya NSSF wakijianda tayari kumzuiya. 
Mchezaji wa timu ya netiboli ya NSSF akidaka mpira wakati wa mchezo wao wa kirafiki na ndugu zao ZSSF uliofanyika katika viwanja vya Bomani Polizi Zanzibar ikiwa ni michezo ya kusherehekea Pasaka zamu hii zinafanyika Zanzibar.
Mchezaji wa timu ya netiboli ya NSSF akidaka mpira wakati wa mchezo wao wa kirafiki na ndugu zao ZSSF uliofanyika katika viwanja vya Bomani Polizi Zanzibar ikiwa ni michezo ya kusherehekea Pasaka zamu hii zinafanyika Zanzibar.
Mchezaji wa timu ya NSSF akidaka mpira wakati wa mchezo wao wa kirafiki kusherehekea Pasaka uliofanyika katika viwanja vya Bomani Zanzibar
Wachezaji wa timu za ZSSF na NSSF wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa kugombea Ubingwa wa michezo ya Pasaka kwa timu hizo mbili uliofanyika katika viwanja vya Bomani Polisi leo asubuhi na timu ya ZSSF imeshinda 36--26. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.