Habari za Punde

Tahadhari Kwa Wananchi Wanaofuata Huduma katika Maeneo ya Darajani na Vibaka

Mwanafunzi wa Kidatu cha Sita katika Skuli ya Vikokotoni Barke Mussa akitowa maelezi jinsi Vibaka walivyoweza kuvungua mkoba wake na kumchukulia shilingi Elfu Hamsini zikiwa Ada ya Shule, mkasa huo umemkuta katika makontena ya kisiwandui wakati akitoka skuli. Wananchi wanaofika katika mitaa hiyo kuwa na tahadhari na Vibaka wanatumia mbinu nyingi ikiwemo kuchana mikoba ya Wanawake kwa Viwembe.
Wasamaria wema wakipiga mchango kumchangia Mwanafunzi huyo,ili kuweza kulipia Ada skuli.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.