Habari za Punde

Dk Shein akutana na Balozi wa Switzerland nchini

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Switzerland katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi.Florence Tinguely Mattli  wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza  na Balozi wa Switzerland katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi.Florence Tinguely Mattli wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.