Habari za Punde

Mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Konde Pemba

Msaidizi Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Konde Pemba Wilaya ya Micheweni Ndg Humoud Abdalla akitwa mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Konde namna yac kujaza fomu za Uchaguzi wakiwa katika zoezi la Wapiga kura katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii Zanzibar tarehe 25/10/2015.  

Wasimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Konde Wilaya ya Micheweni Pemba wakipata mafunzo ya Usimamizi wa Uchaguzi Mkuu 2015 yaliokuwa yakitolea na Msimamizi Msaidi wa Uchaguzi Jimbo la Konde PembaNdg Humoud Abdalla, yaliofanyika katika Skuli ya Sekondari Micheweni.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.