Habari za Punde

Mkutano wa kampeni za CCM Makunduchi leo hii

 Maelfu ya wanaCCM waliohudhuria katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa mpira wa Jamhuri Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja Jimbo la Makunduchi wakimskiliza mgeni rasmi katika mkutano huo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza  nao,[Picha na Ikulu.]
 Baadhi ya wanaCCM waliohudhuria katika Mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM wakimskiliza mgeni rasmi katika mkutano huo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheinalipokuwa akizungumza  nao leo katika uwanja wa mpira wa Jamhuri Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja Jimbo la Makunduchi ,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwahutubia wananchi na WanaCCM katika Mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoa wa Kusini Unguja Jimbo la Makunduchi katika uwanja wa mpira wa Jamhuri leo,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.