Habari za Punde

Mnaikumbuka Sehemu Hii Ndani ya Zanzibar Enzi hizo. Kazi Kwenu

Wadau enzi za gari za morris na Austin ndani ya Zenj wakati huo na magari haya kwa sasa ni nmadra kuyaona barabarani wakati wa sasa. Gari hizi zilikuwa zikitumika kwa matumizi ya Taxi wakati huo lakini sasa hayapo tena ndani ya Zanzibar wakati kwa wenzetu magari kama haya huhifadhiwa sehemu maalum kwa kumbukumbu
(Picha kwa Hisani ya Mdau)

1 comment:

  1. Kaka hii ni mkunazini, mkabala na geti la kuingilia kanisani!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.