MKUU wa kitengo cha fatwa kutoka afisi
ya Mufti Pemba, sheikh Said Ahmad Mohamed, akitoa maelekezo kwenye semina ya
waandishi wa habari ilioandaliwa na ofisi hiyo Zanzibar na kufanyika skuli ya
sekondari Madungu Chake chake Pemba, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
SHEIKH Thabiti Nouman Jongo kutoka afisi ya Mufti Zanzibar, akiwasilisha mada ya nafasi ya waandishi wa habari katika kutunza amani na utulivu, iliofanyika skuli ya sekondari Madungu Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWANDISHI wa habari kutoka shirika la Magazeti ya
serikali Zanzibar, kisiwani Pemba Haji Nassor, akichangia mada juu ya nafasi ya
waandishi wa habari katika kuimarisha amani wakati na baada ya uchaguzi mkuu,
kwenye semina iliofanyika
Allah atuvushe salama ktk uchaguzi huu, lkn. hakuna mtu anaesikiliza ushauri wa taasisi zetu za kidini.
ReplyDeleteHata mimi, mtoa maoni inanisikitisha kusema hivyo lkn. ndio ukweli japo kama ni mchungu.
Taasisi hizi zimeshindwa kua huru na badala yake zinaegemea upande mmoja wa chama, wakti waumini wao ni wa vyama tofauti.
Leo hii wanapowafikia wananchi wanawaona ni kama vile wanaowakilisha chama fulani!
HUU NI UTAMADUNI MBAYA HASA UKIZINGATIA KUA DUNIA INABADILIKA NA HAKUNA JAMBO LA MILELE
TAASISI HII IMEKUA KAMA MMILIKI WA ZANZINEWS AMBAE KIMSINGI HAWEZI KUVUMILIA MAONI TOFAUTI NA YA KWAKE NA HIVYO HUAMUA KUTO KUYACHAPISHA.