Habari za Punde

Taarifa ya kiutaalamu kuhusu mashine zilizodhaniwa ni za BVR

Tume ya taifa ya uchaguzi inapemda kuutaarifu UMMa kwamba baada ya jopo la wataalamu kutoka NEC kuchunguza mashine zilizodhaniwa kuwa ni Biometric Voter Registration (BVR) machine TUMEGUNDUA KWAMBA SIO MASHINE ZA BVR WALA HAZINA UHUSIANO WOWOTE NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI.

na ifuatayo ni taarifa iliyosainiwa na walioshihudia ukaguzi huo.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.