Habari za Punde

Ajali Maeneo ya Mtoni Lakini Salama kwa Abiria wa Gari Hizo.

 Wananchi  wa eneo la mtoni barabara ya bububu wakiangalia gari  yenye namba za usaji Z 284 BD ,iliokuwa ikitokea  mjini kuelekea bububu kupata ajali wakati ikijaribu kuzipita gari  wakati ikiwa katika mwendo na kusababisha ajali ya kuigonga gari yenye namba za Usajili Z 626BV, ikitokea Bububu kuelekea mjini, katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.