Habari za Punde

Rais JK Akutana na Maalim Seif Ikulu jana Dar es Salaam.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete ateta na Makamu wa Kwanza  wa Rais  wa Zanzibar Maalim Shariff Seif Hamad,alipofika Ikulu jana 4,Novemba 2015, kwa mazungumzo kuhusu hali ya kisiasa Visiwani leo  asubuhi  Ikulu jijini dar es Salaam
Rais Kikwete na Maalim Seif wakifurahia jambo wakati wa mazingumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam jana 4 Novemba 2015   
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad wakati alipofika Ikulu Dar jana 4 Novemba 2015, kwa mazungumza na Rais Kikwete Ikulu, wakiwa katika picha ya pamoja. 
Picha na Ikulu    

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.