Habari za Punde

RAIS KIKWETE SIKU YA MWISHO IKULU

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika Ikulu Mjini Dar es Salaam akimalizia kazi Ofisini kwake kwa mara ya mwisho Novemba 4,2015, kwa muda wa Miaka 10 ya Uongozi wake Ikulu kuwatumikia Watanzania katika kipindi chake chote cha Uongozi wake. kabla ya kumkabidhi Rais Mpya wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Tano anayetarajiwa kuapishwa leo Jijini Dar es Salaam asubuhi hii katika viwanja vya Uwanja wa Uhuru Dar es Salaama Dk John Pombe Magufuli kumrithi Dk Jakaya Kikwete kuendelea Amani na Utulivu Tanzania. 
Mungu Ibariki Tanzania.
HAPA KAZI TU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.