Habari za Punde

Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Hailesalasi Wakiwa Nje Vyumba vya Mitihani baada ya kumaliza Mtihani wao wa Asahubi leo.

Wanafunzi wa Kidatu cha Nne wa Skuli ya Sekondari ya Hailisalasi wakiwa nje ya chumba mitihani baada ya kumaliza kufanya mtihani wao asubuhi wa historia wakitafakari na kukumbushana hali ya mtahani huo wakisubiri kurudi madarasani kuendelea na mitihani yao Taifa ya Kidatu cha Nne

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.