Habari za Punde

Wananchi watakiwa kuacha ushabiki na jazba ili kuepukana na matatizo

Wananchi wametakiwa kuacha ushabiki na jazba ili kuwaondolea gharama za matatizo wao wenyewe na familia zao. Wito huo umetolewa na Kamishna wa Polisi zanzibar Hamdan Omar Makame alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari huko makao makuu ya Polisi zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.