MATANGAZO MADOGO MADOGO

Thursday, February 4, 2016

Maalim Seif azungumza na viongozi wa Majimbo wa CUF Pemba

  Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi wa CUF katika viwanja vya Nngoma hazingwa Chake Kisiwani Pemba.
 Naibu Katibu  Mkuu wa CUF Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui, akizungumza na viongozi wa CUF katika viwanja vya Nngoma hazingwa Chake Kisiwani Pemba.
  Baadhi ya Viongozi wa Wilaya na Majimbo kisiwani Pemba wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad. (Picha na Salmin Said, OMKR)

 Baadhi ya Viongozi wa Wilaya na Majimbo kisiwani Pemba wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad. (Picha na Salmin Said, OMKR)