MATANGAZO MADOGO MADOGO

Thursday, February 18, 2016

Mitaa ya Mji Mkongwe wa Zenj Hiyooooo

Mtaa wa Mji Mkongwe wa Zenj maeneo ya mtaa wa kokoni kama unavyoonekana picha ikiwa ni moja ya vivutio vya watalii katika mji huo.